DK SLAA AMWEKA KITIMOTO NCHIMBI-ZUIA UHALIFU SIO UPINZANI
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi jana alikuwa na wakati mgumu katika Kongamano
la Amani lililoandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam (Udasa), baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbroad Slaa
kumtaka ajiuzulu kutokana na kushindwa kudhibiti uhalifu nchini
