Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

UCHOCHORO WA KUVUSHA MADAWA YA KULEVYA DAR HUU HAPA

Ni Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere*Matajiri wauteka, waharibu mfumo wa ukaguziMFUMO wa ukaguzi wa wasafiri na mizigo yao katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) umetekwa na sasa uko mikononi mwa matajiri na wanasiasa wanaofanya biashara ya dawa za kulevya hapa nchini, MTANZANIA Jumapili linaandika kwa uhakika.

DAWA ZA KULEVYA BALAA MAMIA YA WATANZANIA WAPO JELA

Dar es Salaam. Kasi ya kukamatwa kwa Watanzania wakiwa wamebeba dawa za kulevya nje ya nchi, imezidi kuchukua sura mpya baada ya kubainika kuwa maelfu ya Watanzania wanatumikia vifungo mbalimbali ikiwamo vifungo vya maisha nje ya nchi.

HATARII....HIVI NDIVYO MADAWA YA KULEVYA YANAYOKUWA TUMBONI KWA MTU ALIYEYAMEZA


Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya (maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu 

WHEAT CLICK THIS PHOTO