Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

HUYU NDIO MSHIRIKI WA BIG BROTHER AMBAYE HAJAWAHI KUWA NOMINATED TOKA BBA IANZE

wpid-The-Chase-logo
Hivi unaweza kuamini mshiriki huyu ameweka rekodi ya BBA house baada ya kutokuwa nominated kwenye jumba la BBA tangu mashindano yaanze. Kitu kikubwa wanachokiangalia watu hivi sasa ni kama anaweza kushinda zawadi kubwa ya BBA The Chase kwasababu kama bahati anayo, hapa namzungumzia Beverly mshiriki kutoka Nigeria.

FEZA KESSY AJIKATIA TAMAA...KURA YAKO INAHITAJIKA ILI ASITOLEWE BIG BROTHER KESHO


Feza Kessy ameonesha kukataa tamaa na uwezekano wa kupona panga la kesho kwenye eviction ya Big Brother Africa.......

NANDO WA TANZANIA ALETA UMAREKANI NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER NA KUFUKUZWA NDANI YA JUMBA HILO


Jana usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji, Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem.

Itakumbukwa kwamba siku ya ijumaa ilitokea hali ya kutoelewana kati ya Nando na Elikem. Wawili hawa walitukanana sana na kutishiana mno. Ugomvi huo ulianzishwa na Nando.

WHEAT CLICK THIS PHOTO