Wakati
dunia ikiendelea kulaani machafuko yanayoendelea Afrika Kusini kutokana
na wenyeji kuwashambulia wageni, kilichochukua nafasi kubwa kwenye
vyombo vya habari kwa sasa ni ishu ya raia wa kigeni waliokuwemo ndani
ya nchi hiyo kuanza kurudi kwenye nchi zao.
Zimbambwe ni miongoni mwa nchi za Afrika ambazo watu wao wameathirika
kwenye machafuko hayo, tayari watu 400 wamerudi nyumbani kwao kwa
usafiri wa mabasi ya abiria.Moja ya taarifa iliyopewa uzito leo ni ishu ya Watanzania waliokuwa Afrika Kusini kurudishwa TZ kutokana na machafuko hayo.
Serikali yarejesha raia 18 kutoka Yemen na wengine 21 toka S.Afrika kutokana na nchi hizo kuwa na machafuko #SHUHUDA>http://t.co/Xf3hTOWwsz
— millardayo.com (@millardayo) April 23, 2015
No comments: