Msanii Rich Mavoko anafunga mwaka 2014 kwa kutoa video kwa
kufululiza. Baada ya video yake ‘Pacha Wangu’ kutoka,sasa anakuja na
video nyingine ambayo amefanya na Adam Juma. Video itaitwa Toto Tundu.
Kwenye video hii ameigiza kama Kichaa.
Picha,Rich Mavoko Kwenye Utengenezwaji Wa Video Mpya’Toto Tundu’

No comments: