Video mpya ya rapper Young Killer Ft Banana Zorro’Umebadilika’
iliyoanza kufanyiwa shooting mwezi wa nane na director Hefemi Mikoba
inategemewa kutoka muda wowote sasa. Hizi picha za utengenezwaji wa
video hii ambazo Young Killer ameweza kushare nasi kupitia Instagram
Yake.
Picha Zilizotoka Mpaka Sasa Za Utengenezwaji Wa Video Ya Young Killer Ft Banana Zorro ‘Umebadilika’

No comments: