Simone
Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011
na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa
amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani.
Bado chanzo cha kifo chake hakijasemwa lakini uchunguzi unaendelea
zaidi kujua ni nini kilitokea na wala hakuna taarifa za ziada
zilizotolewa zaidi ya hii ya kusema amekutwa amefariki nyumbani kwake.
No comments: