
Jennifer Lawrence Na Chris Martin
Mpenzi wa habari za burudani duniani utakuwa umegundua trend
inayoendelea kwa sasa ya couple nyingi za masta kuvunjika kwa sababu
tofauti, Stori mpya ambayo imeenda tofauti ni kuhusu tetesi zilizosamba
kuwa mwigizaji Jennifer Lawrence na kiongozi mwimbaji wa bendi ya rock
ya Cold Play Chris Martin ni wapenzi.
Vyanzo vingi vimeripoti kuwa tayari mashabiki wa watu hawa maarufu
wamejumuisha majina yao na kuanza kuwaita “Martin Lawrence” . Ndoa ya
Chris Martin ambaye ni rafiki wa karibu wa familia ya The Carters [Jay z
Na Beyonce] ilivunjika miezi michache nyuma.
No comments: