Hii ndiyo teaser/ jingle ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee pamoja na
artwork yake. V Money amerelease wimbo huu kwenye kipindi cha XXL cha
ambapo waandishi wa nyimbo hii ni Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono.
Producer ni Nahreel na unaweza kusikiliza kipande chake hapa.
Baada ya Closer na Come Over…hii ni mpya kutoka kwa Vanessa Mdee.

No comments: