Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM


 kwanza na kuanza kasimu mganga alifungua jukwaa kwa nyimbo yake ya awena aliyo wai kutamba hapo nyuma kwenye tv/redio stesheni na baada ya hapo kassimu moja kwa moja akawapa mashabiki ile nyimbo yake ya i lovee youu watu wakaanza kuesabu i l o v e y o u kasimu anamalizia i love you yani tajiri huyu wa mahaba alifunika sana kwa upande wake
 pichani{kassim mganga}
 pichani{kassim mganga tajiri wa mahaba}
 dj choka kwenye mashine akifanya moja na mbili kuhakikisha chomba kisiende mlama choka the one shot
 joh makini mwamba wa kaskazini akifanya hatari zake kwa upande wake yani ngum ku baa!aaa hatari sana jana pande za dar live watu walifurahi sana na kusema tu weusi weusi weusi weusi kuashilia kwamba wamekubali show
HAJI MABOVU
 mkurugenzi wa kampuni ya M.media ambayo inamiliki website ya mabovu story,mkwere original,jahazi modern taarab na bongo tamu akiwa ndani ya red karpet
 wasanii wa bongo moive nao walihakikisha wanashiriki nasi kisawasawa katika burudani hizi za x-mass ndani ya dar live
profesa j mzee wa mitulinga nae alifanya watu wakumbuke ya zamani pale alipo piga nyimbo ya zali la mentari na kuwarudisha tena kwenye miondoko mipya ya karne ya 21
pichani ni_ joh makini akiwapaga wisha mashabiki
    mfalme mzee yussuf(big dady)mzee wa elda lao aaa!
mfalme huyo wa miondoko ya taarab mzee yussuf  yeye ndo alikuwa man of the match kwani pale alipofika tu kabla ya kupanda hata jukwaani shangwe zikaanza watu wakisema(babu babu babu.....)yani kiufupi tamasha hili lilibebwa zaidi na msanii huyu wa miondoko ya taarab mfalme big dady mzee yussuf baada ya kupewa kipaza sauti na kutangazwa kuwa sasa ni zamu yake ku perfom shangwe tena mzee yussuf alimba karibu nyimbo zake zote tangu albamu ya two in one mpaka hii ya sasa wasi wasi wako
 pichani{ mfalme mzee yussuf}
 kulia ni steji show wa jahazi modern taarab abla manoma {katikati} mzee yussuf mwenyewe big dady na kushoto ni hemedi kisengeli mtoto wa kiwalani
 jahazi crew
 {mashabiki}
 kulia ni hemedi kisengeli steji show wa jahazi modern taarab {katikati} rahma machupa mama wa nipe stara msanii chipukizi kutoka jahazi modern taarab na kushoto ni abla manoma

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO