kundi zima la jahazi modern taarab lafanya kufuru ndani ya dar live-mbagara zakheem pale walipododosha burudani ya kufa mtu.Na kama unavyo jua kinyesi cha kale hakinuki ndivyo wakazi wa mbagara walivyo pokea nyimbo za zamani za jahazi kwa bashasha na furaha tele moyoni mwao hapo juu pichani{katikati} ni msanii wa jahazi prince amigo na masteji show kulia na kushoto.Msanii huyu aliwapa wapenzi wa jahazi nyimbo yake ya full shangwe na baadae kumalizia domo kaya vibao hivi vyote ni albam za nyuma kidogo lakini wapezi wa jahazi walivifurahia sana na kuvicheza.
muite mussa bezz{mussa mashine} utakuwa ujakosea umuonae hapo pichani ni mpiga bezz wa jahazi modern taarab mussa bezz akiyumbusha speaker za dar live hapo kwenye sikukuu za x-mass
PICHANI{PRINCE AMIGO}
CHIDI BOY Mtoto wa sir teta{keybodist wa jahazi modern taarab}
haya tuimbe wote!ukimuona aaa shameji yako uishi kujii kujipitisha koma tena iwe mwisho wako karibu kujipitishaa nikiwa jikoni napika ste grum uameeee! yani we acha tu huyo pichani ni mamaa fatma ally unaweza muita mama shughuli nae alihakikisha jahazi alizami mpaka pale litakapo tia nanga.Aliwapa wapenzi wa jahazi vibao vyake viwili cha kwanza {ng'ombe wa maskini} cha pili {hata bado ujanuna} hiki cha pili sasa watu walikuwa hoi kutokana na midundo ya kisasa iliyo pigwa na kuwafanya watu waone siti zao Kama zina moto wao nikucheza kwa kwenda mbele.
PICHANI(lakavela crew)
{jahazi crew}
mfalme mzee yussuf akicheza kiduku na nini sindimba
hemedi kisengeli {rahma machupa} ibra manoma
No comments: