Na Mwandishi Wetu
WAKATI msanii Agness Gerald ‘Masogange’
akisubiriwa kutua Dar baada kumaliza msala wake huko Afrika Kusini,
skendo ya baadhi ya wasanii Bongo kuhusishwa na usafirishaji wa madawa
ya kulevya ‘unga’, lingine limeibuka ambapo Video Queen Rehema Fabian
amekiri kukamatwa nchini China kwa ishu hiyo.
Wiki mbili zilizopita kulizagaa habari
kutoka kwa marafiki wa karibu wa Rehema ambao walidai kuwa mshiriki huyo
wa Miss Kiswahili 2009 alikamatiwa huko Shaghai baada ya kukutwa na
mwanaume aliyekuwa na unga.
Baadhi ya Watanzania waishio China
walitofautiana ambapo wakati wengine wakidai kuwa alikamatwa na wapo
waliosema kukamatwa kwake kulitokana na kupitiliza muda wa kuishi nchini
humo tofauti na viza yake inavyoeleza.
Katika kipindi hicho chote, Ijumaa
Wikienda limekuwa likimsaka ambapo wikiendi iliyopita lilifanikiwa
kuchati naye ili kupata ukweli wa ‘niuz’ hizo.
Ijumaa Wikienda: Mambo vipi Rehema?
Rehema: Mambo poa tu. Nani mwenzangu?
Ijumaa Wikienda: Unachati na gazeti la
Ijumaa Wikienda. Kuna taarifa zimezagaa Bongo kuwa umekamatwa na unga
China. Hizi habari zina ukweli?
Rehema: Ni kweli nilikuwa mahabusu.
Mateso ya huko wee acha tu. Nilipata kesi lakini si yangu ila namshukuru
Mungu nimetoka salama.
Ijumaa Wikienda: Kesi inahusu nini na kama ilikuwa haikuhusu kwa nini ulikamatwa?
Rehema: Nilikamatwa na mtu (hakutaka
kumtaja na ni nani kwake) alikuwa na unga, nimekaa mahabusu wiki mbili
na siku mbili. Uzuri huyo mtu alikataa mbele ya polisi kuwa hanifahamu
na sihusiki ndipo nikaachiwa.
Latest
m.media photographer_mimi. Powered by Blogger.
Featured author
admin
PostsThe Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Tagged with: PICHA ZA UTUPU
About ujugu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ABOUT ME
- Popular Post
- Video
- Category
HOT NEWS
-
Diamond akiwa na mkubwa wake wa kazi
-
Since its founding, Ketebul has been focused on ‘Bridge’ artists – the key artists that created certain genre that link the tribal mus...
-
Wanajeshi wa Brigedi Maalum wakiwa katika mazoezi makali yaliyofanyika hivi karibuni huko Goma Mashariki ya Demok...
No comments: