Hivi ndivyo wabunge wa Taiwan 'walivyoadabishana' jana baada ya kupishana maelewano kufuatia mpango wa kupiga kura ya maoni iliyoazimia kuidhinisha umaliziwaji wa mradi wa nne wa Nyuklia katika kisiwa ambacho kinakaliwa na watu wapatao milioni 23.
Ishu ya Nyuklia nchini Taiwan imekuwa ni swala tete sana kufuatia kumbukumbu za maafa ya Fukushima yaliyoikumba Japan mwaka 2011.
Tazama picha zote hapa;
Nje ya Bunge pia wananchi walikinukisha;
No comments: