Kujichua
au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata
wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia
au kukiri kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia…….
Wakati
mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili
ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani
mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana
lakini sasa mpenzi hayupo karibu.
Leo nitaongelea Hasara za kujichua au kujichezea kwa mwanaume.
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi.
2. Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).
No comments: