The Admin is a powerful person in this world, more powerful than the president of USA. The very mention of admin sends shivers down the president. You have been warned!
Wachezaji wa Barcelona wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Alexis Sanchez dakika ya tatu.
Lionel Messi kama kawaida yake katupia mbili katika mechi ya jana.
Neymar aliyeingia kipindi cha pili akikwaana na mchezaji wa Levante.
Barcelona jana imefanya kufuru baada ya kuishushia kichapo cha bao 7-0
Levante katika mchezo wao wa kwanza wa La Liga uliopigwa kwenye Uwanja
wa Camp Nou jijini Barcelona nchini Hispania. Mabao ya Barcelona yamewekwa kimiani na
Sanchez dakika ya 3, Messi aliyefunga mabao mawili dakika ya 12 na 42
(penalti), Alves dakika ya 23, Pedro naye kafunga mabao mawili dakika
ya 26 na 73 na Xavi aliyefunga dakika ya 45.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: