Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM


Mwanasiasa mmoja wa Sweden anayeonekana kuwa member mzuri wa mtandao unaozidi kupata umaarufu bongo wa Instagram, katika hali ya ushabiki na kutaka kushare picha ya tattoo yake ya Liverpool FC iliyochorwa katika mguu wake wa kushoto , kwa bahati mbaya alijikuta akionesha mpaka sehemu za ‘ikulu ya mwili’.
Lars Ohly mwenye miaka 56, anayeonekana kuwa shabiki mkubwa wa timu ya Liverpool, baada ya kuweka picha hiyo bila kujua huwa ‘Mr Ohly’ pia ameonekana, aliifuta haraka japokuwa tayari watu walikuwa wameipata.....

Katika hali ya utani Waziri wa mambo ya nje wa Sweeden kutoka kwa chama pinzani Carl Bildt, alimwambia bwana Ohly “Congratulations – finally, after all these years you have made a genuine public breakthrough.”

Soma zaidi: http://mwanahabariuswazi.blogspot.com/2013/07/mbunge-wa-sweden-aweka-kimakosa-picha.html#ixzz2aAO6xtVs

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

1 comments:

WHEAT CLICK THIS PHOTO