USISHANGAE NI UJIO MPYA WA MOIVE KUTOKA KWENYE KAMPUNI YA LEO MEDIA COMPANY AMBAYO INAFANYA VIZURI KWA SASA KWENYE SWALA ZIMA LA FILAMU TANZANIA PIA NI WASAMBAZAJI WA MOIVE ZA KIBONGO MOIVE HII NI MPYA INAKWENDA KWA JINA LA MASUMBUKO wamecheza mastar kibao kama IREN PAUL,BARAFU,CHUCHU HANS NA WENGINE WENGI KUTOKA LEO MEDIA HIVYO BASI USIKOSE KUITAZAMA MOIVE HII IKITOKA
mama akiwa ameshika kidevu kuashiria kuwa leo watalala njaa
BARAFU AKIWA KAZINIBARAFU AKIWA KAZINI KWAKE MWENGE
KAMPUNI YA LEO MEDIA WAKIFANYA YAO
WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WAKISHANGAA WANAUME KAZINI
CAMERA MAN NO#1 TANZANIA KUTOKA LEO MEDIA AKIWEKA SAWA MAMBO
SULEIMAN BARAFU AKIWA AMCHOKA KUSUBIRI WATEJA
BARAFU#LAZIMA WAKAE
No comments: