Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM


Hii inaweza ikawa ni habari mpya kutoka kwa Diamond Platnumz, inasemekana ana mtoto mwingine huko mwanza tofauti na Tiffa, hata hivyo inasemekana hata hajawahi kumuona huyo mtoto wake.

Alipohojiwa na D’jaro arungu katika kipindi cha Papaso hivi karibuni, Diamond Platnumz amesema “Huyo mwanamke story ilivyokuwa alikuwa ametoka kwenye chumba cha brother Dully akaja kwangu mimi nikafanya yangu, mimi nikarudi huku mtoto akawa ananimbia ‘ebwana mimi nina mimba….Basi ilivyokuwa mtoto ‘bana eeh mimi nina mimba’ na mimi nikawa nachezesha nini nikawa namhudumia, huku na huku bahati mbaya nikaanza na demu fulani hivi kwahiyo demu mwenyewe akanimind, nikawa nampigia simu hapokei nikaenda Mwanza kumsakanya huku na huhu nasikia kwao wakanimind nikaonekana kama mimi nazingua….Siku moja nikaenda nikambanabana ‘nikamwambia wewe una mtoto’ akanikatalia kwasababu aliniambia ile mimba niliitoa nini, kumbe ni muongo. Nikaja nikamchunguza kumbe alikuwa amezaa na mtoto namuambia ‘nataka basi nimuone mwanangu’ alinikatalia sana lakini baadaye akaja kuniambia ni kweli ni mwanao umefanana naye na nini. Nikamwambia namuomba nimuone kwenye picha huku na huku hakuweza kuwa nayo….Ikabidi asubuhi alipotoka hotelini akaenda kuniletea picha za mwanangu nione. Sasa wakati anakuja akaja amechelewa kwasababu mimi ndege yangu ilikuwa imeshakaribia ikabidi mimi nikarudi nikaacha vitu vyake pale reception, kurudi nampigia simu nitumie kwenye email sasa suala likaishia hivyo, yaani kila nikimpigia hapokei.”

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO