Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM


Muongozaji wa filamu za “2 Fast 2 Furious” John Singleton amezungumzia jinsi Ja Rule alivyokataa kulipwa nusu ya dola milioni moja ilikufanya filamu hio. 2 Fast 2 Furious imetajwa kuwa filamu kubwa zaidi inayohusu magari na maisha ya watu na muongozaji huyo amesema Ja Rule alijiskia mkubwa sana wakati huo ndio maana alikata nafasi hio.
John Singleton anasema baada ya Ja Rule kuringa ndio nafasi akapewa rapa Ludaris na ameitendea haki sana nafasi hio. John anasema alikutana na Ja Rule miaka kadha baadae na nikamwambia nikimpigia simu tena asidharau ofa zangu na yeye aliomba msamaha, sasa tuko sawa. Ja Rule aliigiza kwenye filamu ya kwanza ya Fast and the Furious.

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO