Mtandao wa record lebel ya Jay Z ‘Roc
Nation’ umetoa taarifa kuwa rapper Big Sean ndio msanii wao mpya
aliyejiunga na record lebel hio. 
Big Sean alikuwa member wa familia ya Good Music ya Kanye West ambayo ndio iliyomtoa na alikuwa akisimamiwa na Kevin Liles kupitia KWL Enterprises. Big Sean ametangaza kuhamia Roc Nation wiki chache tuu baada ya Meek Mil kutengana na kampuni hio na kwa sasa Big Sean amejiunga kwenye usimamizi moja na wasanii kama Rihanna, Jay Z, Meek Mil, Timbaland, Dj Mustard, Kanye West,Shakira na Melanie Fiona.

No comments: