Mtaani
kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally
Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu
uhusiano wao kama wanamuziki.

Ally Kiba kapatikana na kuongea sentensi hizi 4.
1-’Mimi nipo okey sana’
2-’Sifikirii tu kuongea nae basi lakini nipo okey’
3-’Sijawahi kufikiria kwa sababu kuwa okey na mtu ni pamoja na kuzungumza kuwa karibu yaani sijawahi kufikiria’
4-’Mimi nipo okey na sina chuki,sana sana nampongeza sina chuki simaindi na nipo okey’.
Bonyeza play kumsikiliza Ally Kiba
No comments: