Kwenye
fainali ya kombe la dunia msanii Rihanna aliweka wazi kuwa yeye ni
shabiki wa Ujerumani tangu mechi inaanza. Rihanna alikuwa kwenye jukwaa
la watazamaji akiwa na jezi ya Ujerumani na alionekana akishangilia sana
baada ya goli lililoipa ushindi ujerumani likifungwa.
Baada ya mechi kuisha Rihanna alijumuika pamoja na wachezaji wa
Ujerumani kusherekea ubingwa mara baada ya mechi. Hizi ni picha zake
akiwa na wachezaji wa nchi hiyo.

No comments: