Slider[Style1]

HABARI

BONGO MOVIES

BONGO FLEVA

.

BONGO VIDEOS

Style5[ImagesOnly]

STORY ZA INSTAGRAM

Msanii father g asema kuwa vijana wengi wa sasa ambao wako kwenye game wame haribu maana kubwa na muziki wa tanzania na kuwa wamekuwa wakizungumzia zaidi mapenzi na kutofikiria matatizo ambayo mengi yanatokea hapa nchini kwetu tanzania ili wao kama wasanii kuhamasisha wananchi pamoja na viongozi kufikia malengo zaidi na kufanya sanaa yetu inafikia mahali pazuri bali wao sasa wamefanya sanaa ya tanzania kuwa ngumu zaidi wasanii pamoja na watu ambao wanajiita mameneja lakini mimi nawaona kuwa si mameneja bali ni madalali sababu meneja ana njaa kuliko msanii.Wasanii wa bongo kiu jumla  hawajui nini wanafanya ndoo maana mpaka sasa wanabaki kupigana majungu. hayo ni maneno ya father g msanii ambae alishawai tamba na nyimbo yake ya binti mlokole miaka ya 2000/2003.Msanii father g ambae kwa sasa makazi yake ni nchini Urusi ambapo anasomea degree ya sheria mwaka wa saba sasa pia ameshaanza kufanya na kazi umoja wa mataifa.

About ujugu

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

WHEAT CLICK THIS PHOTO