Kama
mfatiliaji wa muziki wa Dansi Tanzania,jina la Mc D si jina geni
kwako,huyu ni Mpiga tumba maarufu Afrika mashariki Masoud Mohamed (MCD)
ambaye ni mpiga tumba kutoka bendi ya African Stars Band[Twanga
pepeta]habari za kifo hiki zimethibitishwa na msemaji wa Twanga pepeta.
Miongoni mwa bendi alizozitumikia Mcd enzi ya uhai wake ni pamoja na
Diamond Sound,Mashujaa Band na Twanga pepeta,taarifa zaidi zitafuata.
Breaking:Mc-D wa Twanga pepeta afariki Dunia usiku huu.

No comments: