timu kogwe ya mpira wa miguu Tanzania SIMBA SPORTS CLUB yafanyiwa kitu kibaya sana katika mchezo wake uilochezwa leo na mtani wake wa jadi YANGA AFRICAN WATOTO WA JANGWANI katika uwanja wa taifa dar es salaam na simba kuchezea kichapo cha gori 2:0 kama wamesimama gori la kwanza kwa yanga likipatikana kwa mshambuliaji wake KAVUMBAGU na la pili kutoka kwa HAMISI KIIZA DIEGO simba watafuta njia yakutokea yani wamepoteza ramani mashabiki wa simba walitamani wavue nguo zao na wavae viroba leo mashabiki wa yanga wanafurahi na kuruks ruka kwa ushindi walio pata leo wengine wanaonekana na nyuso za furaha zaidi
SIMBA WAPAKATWA DAR LEO
TA

No comments: