Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Akili Mpwapwa.
Vijiji vilivyozua mapigano hayo ni vya Muleru na Lalage na inadaiwa kuwa chanzo chake ni kugombea msitu unaomilikiwa na kijiji kimojawapo.
Diwani wa Kata ya Balangdalalu, Paulo Tarimo, alisema jana kuwa ugomvi kati ya vijiji hivyo ni wa siku nyingi na ulikuwa ukitafutiwa ufumbuzi kupitia vikao mbalimbali.WWW.HAJIMABOVU.BLOGSPORT.COM
No comments: