familia ya mke,mume na mtoto yanusurika kufa huko mkoani dodoma kutokana na gari ya aina ya noah kupoteza mwelekeo na kwenda kugonga kwenye chumba cha wanafamili hiyo iliyo opposite na barabara ya jamuhuri mkoani dodoma. Akizungumzia tukio hilo kwenye blog ya MABOVU STORY mke wa gau alieleza kuwa alipo kuwa amelala yeye na mume wake na mtoto wake mwenye umri wa miaka kumi na nne mumin adam walisikia kishindo kikubwa kilicho ambatana na upande mkubwa wa ukuta wa chumba ukiporomoka ndani. tazama picha za tukio zima
na haji mwandawila
FAMILIA YANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA NA GARI CHUMBANI USIKU WA MANANE

No comments: