NANI KAMA TANZANIA
jamii nyingi za tanzania zimekuwa zikiishi chini ya dola moja maisha yao yamekuwa ya shida na kubangaizaa lakini hawaishi kutafuta kwani mtanzania ni mtu mmoja jasiri sana katika africa yetu kwani ni mtu mwenye amani ya kutosha na si mtu wa kutafuta mabalaa ya vita kama zilivyo nchi nyingine naipenda tanzania tuitunze tanzania yetu

No comments: